Simba SC Chaondoka kuwafuata UD do Songo Msumbiji


Kikosi cha Simba SC kimefika kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) tayari kwa safari ya kwenda Msumbiji ambako kitacheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa ya Afrika dhidi ya klabu ya UD do Songo.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad