TAFITI: Mkoa wa Kilimanjaro Waongoza Tanzania Kuwa na Wanawake Wengi Wanene na Wenye Vitambi, Dar ya Pili..
0
August 25, 2019
Mkoa wa Kilimanjaro umetajwa kuongoza kuwa na wanawake wengi wanene na wenye viribatumbo nchini Tanzania.
Mkoa wa Dar es salaam umeshika nafasi ya pili kwenye utafiti huo, Uliotolewa na Mkurugenzi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania Dkt. Germana Leyna.
Sababu hasa zinazopelekea matatizo hayo, Ni kutozingatia lishe bora na mazoezi.
Tags