Tahadhari Watu Wangu...Yoyote Atakayevamia LORI la Mafuta Kukiona Cha Mtema Kuni


Baada ya matukio kadhaa yaliyojitokeza hivi karibuni, yanayohusisha wananchi kuchota mafuta aina ya petrol baada ya magari hayo kupata tatizo, Jeshi la polisi linawataarifu yeyote atakayevamia gari kwa nia hiyo atashikiliwa na chombo hicho.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad