Tanzania na Zimbabwe zimetiliana saini hati tano za makubaliano ya ushirikiano katika nyanja mbalimbali ikiwa ni kutekeleza maelekezo ya Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ya kuhakikisha nchi hizo zinashirikiana katika
Hati hizo za makubaliano zimesainiwa Harare Zimbabwe na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi, kwa upande wa Tanzania na Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara ya Kimataifa wa Zimbabwe Luten Jenerali Mstaafu Sibusiso Moyo.
Akizungumza mara baada ya kusaini hati hizo za makubaliano Waziri Kabudi amesema mkutano huo unafanyika kwa mara ya kwanza baada ya miaka 21,. na kuongeza kuwa uhusiano baina ya Tanzania na Zimbabwe ulianza kabla ya ukoloni.
Makubaliano hayo yameafikiwa katika nyanja za ushirikiano wa biashara, uchumi na uwekezaji, siasa na diplomasia, utalii, uwezeshaji wa wanawake na masuala ya jinsia pamoja na masuala.
Kabudi chapa kazi mdodo wa kukaya.
ReplyDeletehao wwote tulikuwa naO Dodoma.
Siui Chambakare yuko hai.
Muulizie Jiraniyetu mwana ukombozi ndio alikuwa mwana sheria mkuu hapo.
ushukuru kwa SADC wakija ni wanakuja Nyumbani Dodoma ni kwa na sisindugu zao tutajisikia Faraja sana kukumbushana na kucheka kwa Furaha baada ya kupoteana kwa muda Mrefu.
Tunajisikia Fahari kwa Jemeari wetu JPJM kushika hatamu ya kuongoza nchi hizi katika wakati huu mwafakaa na Mataifa tui yaunda hapa nyumbani.
Zwalili chilo cha nala nkuita kugona
mlamsaje Jemedali ..Sandenji muwaha.
HAPA KAZI TU PERFORMANCE DRIVEN.