Tekno akutwa na majanga ya kuvujisha picha chafu mtandaoni, Awaomba radhi mashabiki wake (+video)




Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Tekno amewaomba msamaha mashabiki wake,  Baada ya picha na video kuvuja mtandaoni zikimuonesha akiwa kwenye gari akicheza na wanawake waliovaa nguo nusu uchi huku akiwatomasa.


BURUDANI: Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Tekno amewaomba msamaha mashabiki wake, Baada ya picha na video chafu kuvuja mtandaoni zikimuonesha akiwa kwenye gari akicheza na wanawake waliovaa nguo nusu uchi huku akiwatomasa tomasa. Tekno amesema kuwa video hiyo ni yake na hakufanya makusudi bali alikuwa ana-shoot video ya wimbo wake mpya. “Kwanza hakukuwa na sababu ya sisi kucheza mtaani. Tulikuwa tuna-shoot video yangu ya muziki, Na kulitokea tatizo la usafiri ndio maana tukaingia kwenye gari moja na wale wanawake. Ilikuwa majira ya Saa 6 usiku na tulikuwa tunacheza kama burudani tu, Sikuwa na lengo baya,” ameandika Tekno na kuomba radhi. “Nawaomba mnisamehe, Kama kuna mtu amejisikia vibaya baada ya kuona video ile”. Video hiyo imelaumiwa na watu wengi nchini Nigeria, Wengi wao wakidai kuwa amewadhalilisha wanawake na wakitaka sheria ichukue mkondo wake. Kwa mujibu wa sheria ya mwaka 2015 kifungu cha 135 (a) nchini Nigeria, Ni kosa la jinai kumtomasa mwanamke hadharani. Written and edited by @mgallahtz .



Tekno amesema kuwa video hiyo ni yake na hakufanya makusudi bali alikuwa ana-shoot video ya wimbo wake mpya.

“Kwanza hakukuwa na sababu ya sisi kucheza mtaani. Tulikuwa tuna-shoot video yangu ya muziki, Na kulitokea tatizo la usafiri ndio maana tukaingia kwenye gari moja na wale wanawake. Ilikuwa majira ya Saa 6 usiku na tulikuwa tunacheza kama burudani tu, Sikuwa na lengo baya,” ameandika Tekno na kuomba radhi.

“Nawaomba mnisamehe, Kama kuna mtu amejisikia vibaya baada ya kuona video ile”.

Video hiyo imelaumiwa na watu wengi nchini Nigeria, Wengi wao wakidai kuwa amewadhalilisha wanawake na wakitaka sheria ichukue mkondo wake.

Kwa mujibu wa sheria ya mwaka 2015 kifungu cha 135 (a), Ni kosa la jinai nchini Nigeria kumtomasa mwanamke hadharani.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad