Tundu Lissu Aweka Rekodi Nyingine...Ameshinda Pingamizi la Serikali


Tundu Lissu ameshinda pingamizi la Serikali dhidi ya maombi yake ya kibali cha kufungua kesi kupinga kukoma kwa ubunge wake

Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali hoja za Serikali kupinga kusikilizwa kwa maombi ya kesi namba 18/2019 ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu kuhusu ubunge wake kwa sababu hazina mashiko.
_
Kutokana na hatua hiyo, maombi ya Lissu kutetea Ubunge wake wa Singida Mashariki yataendelea kusikilizwa Mahakamani hapo mbele ya Jaji Sirilius Matupa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad