Unaambiwa RC Mokonda na Chalamila Kurudi Shule Kusoma....



Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila watakuwa viongozi vijana wa kwanza kurudi shule kusoma somo la uongozi.

Katibu Mkuu huyo wa Chama cha Mapinduzi, (CCM) , Dkt Bashiru Ally amesema RC Dar es Salaam, Paul Makonda na RC Mbeya, Albert Chalamila wanatakiwa kurudi shule kusoma "somo la uongozi.

Dkt Bashiru amesema wakuu hao wa mikoa watakuwa viongozi wa kwanza vijana wa CCM kurudi shule kusoma, ikiwa ni mkakati wa chama hicho kutoa elimu kwa viongozi vijana.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad