VIDEO: Azim Dewji Afunguka Hali yake Baada ya Kunusurika Kwenya Ajali




Mwenyekiti wa Jumuiya ya Shia ambaye pia  mfanyabiashara, Azim Dewji amefunguka kuhusiana na hali yake baada ya mfupa wake mmoja wa uti wa mgongo kuvunjika ajalini wakati akiwa njiani kuelekea Rufiji kwenye sherehe za uwekaji jiwe la msingi.

‘’Namshukuru Mwenyezi mungu kwani hali yangu kwa sasa inaendelea kuimarika lakini lakini madaktari wameniambia nisikae mpaka baada ya miezi 3’’ Azim Dewji

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad