VIDEO: Sio mchezo Yanga walivyotua uwanja wa Uhuru kuwavaa Ruvu/ Zahera atinga na vipensi vyake


Klabu ya soka ya Yanga imetua katika uwanja wa Uhuru kwa ajili ya kucheza mchezo wao wa kwanza wa ligi kuu Jumatano hii dhidi ya Ruvu Shooting. Kocha wa timu hiyo Mwinyi Zahera ametinga uwanjani akiwa na vipensi vyake kama alivyozoeleka.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad