Vijana 81 Watunukiwa Cheti cha 'Sungusungu'

Zaidi ya vijana 81 wametunukiwa cheti cha mafunzo ya polisi jamii maarufu kama sungusungu katika Kata ya Hananasifu Makongo juu jijini Dar es Salaam.

Akizungumza leo, katika hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya chuo cha ardhi Mkuu wa masuala ya Polisi jamii Mkoa wa Kipolisi Kinondoni E1360 Ibrahim Omary amesema, mafunzo haya ni Mpango mkakati wa Mkoa wa kipolisi katika Kata zote zilizopo, kupata elimu juu ya mafunzo ya kijamii.

Amesema, lengo la kutoa elimu hii ni kutokomeza uhalifu au kupunguza kabisa
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad