Wachezaji wa Simba Watoa Msaada Hospital ya Ocean Road

WACHEZAJI wa Klabu ya Simba leo wametoa msaada katika Hospitali ya Ocean Road kwa wagonjwa wa kansa katika kuelekea Wiki ya Simba ambayo inatarajiwa kufanyika Agosti 6 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Misaada hiyo ni pamoja na maji, juisi, unga, dawa ya miswaki, miswaki na kadhalika.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad