Wanamgambo 18 wa al Shabaab Wauawa


Wanamgambo 18 wa kundi la al Shabaab wauawa katika operesheni ya ushirikiano kati ya jeshi la Marekani na Somalia.

Jeshi la Marekani kwa ushirikiano na jeshi la Somalia limewaangamiza magaidi 18 wa kundi la al Shabaab katika operesheni  dhidi ya ugaidi.

Kituo cha redio cha jeshi la Somalia kimetoa taarifa kwamba jeshi la Somalia kwa ushirikiano na jeshi la Marekani limeendesha operesheni katika eneo la Shabelle na kuwaangamiza magaidi 18 wa kundi la al Shabaab.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad