Wanariadha Wakenya wafuzu riadha za dunia


Bingwa wa kitaifa wa mita 400 nchini Kenya Mary Moraa, amefuzu kushiriki riadha za dunia zitakazoandaliwa jijini Doha Qatar kati ya Septemba 8 na Oktoba 6 mwaka huu.

Moraa amejikatia tiketi hiyo ya kuiwakilisha Kenya nchini Qatar baada ya kushinda nusu fainali ya michezo ya bara la Afrika inayoendelea sasa jijini Rabat Morocco.

Kwa upande wa wanaume, Mkenya Alphas Kishoyian amefuzu fainali ya mita 400 baada ya kutumia muda wa sekunde 41:61 kwenye nusu fainali ya kwanza na kumaliza wa pili nyuma ya Ditiro Nzamani wa Botswana aliyetumia sekunde 46:23
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad