Wanaume Mliohamishiwa Dodoma Mmetuachia Wake zenu Makazini Wanatusumbua Sana


Ni wamama wawili sasa nimeona wamebadilika sana hapa kazini. Kila mtu kwa nafasi yake analalamika kuwa sasa ana hard time mahitaji ya kimwili hapati na mumewe yupo dodoma.

Ushawishi wao ni mkubwa. Huyu mmoja amefikia hatua kabisa ananambia " leo am so h.orny yaani ukinigusa tu wazungu haoo" akija ofisini kwangu ananitega sana kila wakati anataka tuzungumzie mambo ya mapenzi penzi tu

Na jimama lingine nalo linanambia linekuwa likiniangalia sana na kuona nipo serious so linapenda sana tupeane kampani hasa kipind hiki ni mpweke mumewe kaenda dodoma.
Ananambia anajua nimeoa name ndo maana anataka atulie nami tukapime tuwe tunakamuana tu kishkaji ye hataki hata shilingi yangu moja.

Nashauri waume mliohamia dodoma chukueni wake zenu, Wanatusumbua sana huku makazini na mitaani. Na wao wanaamini nanyi dodoma mnafanya hivyo hivyo.

By Gudume
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Gudume, Hawa ni wakware...!!!
    Unajua Dawa yao..?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad