Watu Binafsi Wanaofunga Ving'ora na Mataa ya Rangi Rangi Kwenye Magari Binafsi Kukiona cha Mtema Kuni


"Polisi inapiga marufuku kuweka taa za vimulimuli au za rangi rangi,taa zenye mwanga mkali (spot light) na kufunga ving’ora kwenye magari ya kiraia au watu binafsi na pikipiki za kiraia, isipokuwa magari yanayotoa huduma za dharura tu na ya makampuni binafsi ya ulinzi"-MAMBOSASA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad