Wema Sepetu "Sitamani Mtoto Tena Kama Zamani

"Kwa sasa nina mpenzi mpya na sitataka kumuonesha kwa watu, naenjoy tu maisha na hata ile hamu ya kupata mtoto kama zamani sina kwa sasa, Mola akijalia nitapata mtoto"

Muigizaji huyo ameyasema hayo Ijumaa hii akiwa kwenye uzinduzi wa kipindi kipya cha Nipe Code ambacho kitaoneshwa kupitia king’amuzi cha Startimes

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad