Yanga SC Yawasili Visiwani Zanzibar Mchana Huu

Yanga SC Yawasili Visiwani Zanzibar Mchana Huu
Wachezaji wa Timu ya Dar Es Salaam Young Afrika (Yanga SC)  wamewasili Mchana huu katika visiwa vya Zanzibar ambapo wanatarajiwa kucheza mchezo Miwili ya kirafiki katika kukamilisha ratiba za Tamasha la wiki ya wananchi.

Wachezaji  wa Timu hiya wameambatana na baadhi ya viongozi na Mashabiki wa timu  wakitokea jijini Dar es Salaam kwa boti ya Azam ambapo wametoka Dar Es Salaam saa tatu Asubuhi na kufika majira ya Saa tano visiwani humo.

Mara baada ya kuwasili kwa wachezaji hao baadhi ya wapenzi wa soka na wapenzi wa clabu hiyo wamejitokeza katika Bandari ya Malindi kuwapokea wachezaji wa timu hiyo na kuwasindikiza hadi katika hotel ya Uwanja wa Amani ambapo wamefikia timu hiyo.

Yanga sc anatarajia kecheza michezo wa kwanza halo kesho  Juma Tano na Timu ya Mlandege Fc na siku ya Alhamis na Timu ya Malindi SC.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad