Yusuph Manji Adaiwa Kukamatwa Nchini Marekani

BILIONEA maarufu hapa nchini na aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Yusuf Manji,  inasemekana yupo chini ya mikono ya polisi tangu Julai 29, 2019 katika kaunti ya  Seminole Jimbo la Florida nchini Marekani.

Inadaiwa Manji ameshikiliwa na polisi kwa tuhuma za matumizi ya madawa ya kulevya (DUI-UNLAW BLD ALCH-BAL OF .15 OR HIGHER).



Hii ni kutokana na kuwepo kwa uthibitisho wa kukamatwa kwake kupitia mtandao wenye taarifa zote za wahalifu wanaokamatwa nchini Marekani “Arrests.org”



Bilionea huyu mwenye umri wa maika (43) amewahi kuwa mwenyekiti wa Klabu ya Yanga na diwani wa kata ya Mbagala.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad