Albeto Msando Afunguka Baada ya NAPE Kumuangukia Rais na Kumuomba Msamaha
Alberto Msando wakili Msomi wa kujitegemea amefunguka maneno machache kuhusu Nape Kwenda Ikulu na Kuomba Msamaha kwa Rais John Pombe Magufuli Kutokana na meneno yake yaliyowahi kusikika baada ya Clip Kuvuja:
Ameandika Haya kupitia Ukurasa wake wa Instagram:
"Uungwana ni vitendo. Maneno matatu muhimu kwenye maisha, NAOMBA, AHSANTE na SAMAHANI. Na siku zako zitasonga kwa amani. Muda huwa ‘unatibu’ na ‘kuponya’. @nape_nnauye hongera kwa hili. 🙏🏿🙏🏿🙏🏿. #TheDon."
TAZAMA WIMBO MPYA WA ROSA REE