Alikiba Kaongea Kumpiga Kibao Mkewe Baada ya Kuchelewa Kurudi Nyumbani



Ni Headlines za mwimbaji wa Bongo Fleva, Alikiba ambae Sept 19, 2019 alikaa kwenye mahojiano katika kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM kinachoendeshwa na mtangazaji Diva Loveness.

Miongoni mwa walioyozungumza ni hii Alikiba ameyajibu kwa wanaosema alimpiga kibao baada ya kuchelewa kurudi nyumbani, bonyeza play umsikilize

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad