Alikiba: Watu Wanatumia Mtandao ya Kijamii Vibaya Hadi Kufikia hatua ya kuvunja ndoa za watu

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Ali Salehe Kiba alimaarufu Ali Kiba amefunguka na kuonyesha kuumizwa na watu wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya hadi kufikia hatu ya kuvunja ndoa za watu.

Akiongea na bongo5 Alisema kuwa watu wanatumia vibaya mitandao sijui hawa kazi au vipi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad