Baada ya Ushindi Mnono Kikosi cha Simba sasa Kwenda Mwanza

BAADA ya kikosi cha Simba jana kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar leo kinasepa Bukoba na kuelekea Mwanza.

Kikosi cha Simba kitafanya mazoezi ya mwisho Jumamosi Musoma kabla ya kuwavaa wenyeji wao Biashara United.

Simba itacheza na Biashara United Jumapili uwanja wa Karume na utakuwa ni mchezo wao wa pili ugenini
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad