Balozi wa Italia nchini atembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
0
September 27, 2019
Daktari bingwa wa wagonjwa wa moyo waliolazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) Vivian Mlawi akimwelezea Balozi wa Italia nchini Mhe. Roberto Mengoni maendeleo ya hali za wagonjwa waliofanyiwa upasuaji wakati wa ziara fupi iliyofanywa na balozi huyo ya kutembelea kambi maalum inayofanywa na madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Mending Kids International. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Upasuaji Dkt. Angela Muhozya
Tags