Balozi wa Italia nchini atembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete

Daktari bingwa wa wagonjwa wa moyo waliolazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) Vivian Mlawi akimwelezea Balozi wa Italia nchini  Mhe. Roberto Mengoni maendeleo ya hali za wagonjwa waliofanyiwa upasuaji  wakati wa ziara fupi iliyofanywa na balozi huyo ya  kutembelea kambi maalum inayofanywa na madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana  na wenzao wa Shirika la Mending Kids International. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Upasuaji Dkt. Angela Muhozya

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad