Bondia Dullah Mbabe afika Bungeni Na Mikanda Yake ya Ubingwa


Waziri Mwakyembe amempongeza Bondia Shaban Ramadhan (Dullah Mbabe) baada ya kuibuka mshindi wa Dunia katika ngumi za kulipwa na kushinda mkanda wa uzito wa kilo 76. Pongezi hizo amezitoa mapema jana wakati Bondia huyo alipofanya ziara Bungeni Jijini Dodoma
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad