Mahakama ya Gauteng ya nchini Afrika Kusini imeamuru ndege ya Air Tanzania (ATCL) Airbus A220-300 iliyokuwa inashikiliwa nchini humo kuachiwa. Taarifa zaidi zinakuja.