BREAKING: Rais Magufuli amteua Rais Mstaafu Mwinyi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi kuwa  Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).

Mhe. Mwinyi ameteuliwa kuendelea na wadhifa huo kuanzia leo September 25, 2019.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad