Cristiano Ronaldo atoa kauli tata kuhusu mpenzi wake

Mchezaji Cristiano Ronaldo amesema kufanya mapenzi na mpenzi wake Georgina Rodriguez ni kitu bora zaidi kuliko goli lake bora alilowahi katika maisha yake ya soka, goli la bicycle kick alilofunga dhidi ya Juventus April 2018 akiwa anachezea Real Madrid.

Ronaldo amesema hayo katika mahojiano aliyofanya na Piers Morgan katika kituo cha ITV nchini England.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad