Dereva Afariki Akiwa Anawaendesha Watalii Ngorongoro


Livingstone Masawe mfanyakazi wa Kampuni ya Leopard Tours adaiwa kufariki ghafla Wilayani Ngorongoro akiwa anawaendesha watalii

Taarifa za awali zinadai kwamba chanzo cha kifo chake kilitokana na kwikwi ya mfululizo ambayo ilipelekea mauti yake

Madereva wa magari ya watalii wamedai kuwa, kama marehemu angepata msaada wa mapema yawezekana angekuwa hai kwa kuwa imechukua saa 16 mpaka kupata msaada katika eneo la Ngorongoro

Wamehoji kuwa ni kwanini hakuna magari au helicompter ya kuwabeba watu wanaopata ugonjwa wakiwa katika eneo la utalii? Wameongeza kuwa, sekta ya utalii inaliingizia taifa fedha nyingi, kukosa gari ya wagonjwa katika hifadhi hiyo ni aibu
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Labda kuwe na Hospital inayotembea? Na ambulance? Na helicopter ya rescue?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad