Dudu Baya Ataja Njia Mpya ya Kujikinga na UKIMWI

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Dudu Baya amewataka Watanzania wasome biblia na kufuata amri 10 za Mungu kama njia ya kujinusuru na ugonjwa wa UKIMWI.


Dudu Baya akiongea na bongo5, amesema kuwa kama mtu atazingatia na kuzifuata amri hizo, Basi hawezi kupata UKIMWI.

Kwenye amri hizo, Amri ya sita inasema “USIZINI” na ndio ambayo Dudu Baya amesema endapo utazitii amri zote huwezi kupata UKIMWI.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad