Amesema haya:
"Nimelia sana tena sana kwa sauti, nilikuwa najua mipango ya ndoa yao kama mwezi hivi kuna mtu anayenipenda aliniambia, lakini siku zote hizo haikuniumiza na nilikuwa na amani moyoni, so jana nilikuwa nimeshajiandaa kuvaa nguo mpya na kunywa shampeni ku cellebrate his life , ila kulichonifanya nilie jana sio kwamba nina uchungu nae ila najiuliza nilikosea wapi sipati majibu ya maswali yangu , nilikuwa mtu mwema sana kwake ...ila niko sawa na nifeel free kwa sasa im fine, Namtakia ndoa njema na awe na amani sita taka kusikia wameachana na mke wake"
TAZAMA VIDEO HAPA AKILIA:
Pole sana dada yangu, sali kila siku ili Mungu akupatie mume mwema, siku zote watu wenye fedha huwa hawatabiriki kwa sababu kila mtu anapataka hapo hapo, tafuta mwanaume wa kawaida ishi naye kwa upendo.
ReplyDeletePia umefanya vizuri kumuombea mzazi mwenzako ndoa yenye amani.
ReplyDeletemmmh
ReplyDelete