Katibu wa Chama cha Mabaharia “Bila Sifa Hizi Ubaharia Haukufai” (+video)



Neno ‘Baharia’ limeanza kutumika muda mrefu sana lakini siku za hivi karibuni limeonekana kushika kasi na kutumiwa sana mitaani na mitandaoni huku kila mmoja akilitumia kwa style yake iwe kwenye mazungumzo ya kawaida au ya utani.

Lakini bado maswali ni mengi kuhusu maana halisi ya Baharia na sifa za yule anayefaa kuitwa Baharia.

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad