Kenya Airways kutaifishwa mwishoni wa mwaka huu

Serikali ya Kenya ina mpango wa kutaifisha shirika la ndege la Kenya Airways ifikapo mwishoni wa mwaka huu ili kuongeza ushindani wake, maafisa walisema Jumanne.

Afisa mkuu mtendaji wa Kenya Airways,Sebastian Mikosz aliwaambia waandishi wa habari jijini Nairobi kwamba washindani wake wote wa kikanda na kimataifa pia wanamilikiwa na serikali zao na kupata faida zaidi.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad