Kijana ahukumiwa miaka 30, jela kwa kosa la kumbaka dada yake


Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela kijana mmoja, Kadushi Edward mkazi wa Kijiji cha Katindi, wilayani Uyui baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka dada yake mwenye umri wa miaka 16.

 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela kijana mmoja, Kadushi Edward mkazi wa Kijiji cha Katindi, wilayani Uyui baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka dada yake mwenye umri wa miaka 16. Video Credit 💳 by @azamtvtz
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad