Kijana Anayeishi kwa Kupumulia mashine ya Oxygen Afikishwa Hospitali kwa matibabu

Kijana Hamadi Hawadhi mwenye umri wa miaka 28, anayesumbuliwa na ugonjwa unaomsababishia kuishi kwa kupumulia mashine ya Oxygen, Leo Septemba 12 amefanikiwa kufika katika hospitali ya Taifa Muhimbili tawi la Mloganzila kwa ajili ya kuchunguzwa zaidi afya yake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad