Kimenuka..Mabaharia wa UKWELI Watoa Tamka Kuhusu Dhihaka ya Jina Baharia Inayoendelea


Chama cha Mabaharia kimesikitishwa sana na kinakemea kitendo cha vijana wasio na vigezo kujiita mabaharia.

Chama hicho kimechukizwa na utani unaoendelea mitandaoni, kwasababu unaweza kuleta athari kwenye carrier ya ubaharia.

Pichani ni katibu wa chama cha mabaharia captain. ISAYA MWAKIBUDA
TAZAMA WIMBO MPYA WA ROSA REE

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad