Kunguni Waleta Taharuki Ndani ya Gari Abiria wagoma kuendelea na safari

Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Mkoani Kigoma kwenda DSM na basi kampuni ya ARIZONA wamegoma kuendelea na safari katika kituo cha mabasi Tabora Mjini kwa madai kuwa gari hilo lina kunguni huku Jeshi la Polisi likizuia gari hilo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad