Maskini..Mmoja wa Pacha Aliyetenganishwa na Mwenzake Afariki Dunia

Taarifa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, mtoto Anisia Bernatus, mmoja wa pacha aliyetenganishwa na mwenzake baada ya kuzaliwa wakiwa wameungana amefariki dunia ikiwa ni siku chache tangu waliporejea nchini kutoka Saudi Arabia walikofanyiwa upasuaji wa kuwatenganisha.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad