Mataifa 10 yanayoongoza kwa kuwa na hifadhi kubwa ya dhahabu.


UNAAMBIWA Haya ndio Mataifa yanayotajwa kuongoza Duniani kwa kuwa na Hifadhi kubwa ya Dhahabu;‬
‪10.India‬
‪9.Uholanzi‬
‪8.Japan‬
‪7.Switzerland‬
‪6.China‬
‪5.Urusi‬
‪4.France‬
‪3.Italy‬
‪2.Ujerumani‬
‪1.Marekani‬


Afrika tunafeli wapi, ukizingatia hizo dhahabu zinatoka afrika kwa kiasi kikubwa
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Waulizeni waMishonari tunao wapa Ardhi
    Vijijini kutujengea hospitali na shule na Madhabaho.

    Namkumbuka Franz Backnbeur sehemu za Chunya na kUsini kwa ujumla wake.

    Asingekuwa Baba JPM hata ACACIA Na wenzao wangeendelea kuchota tu.

    Jibu tunalo.

    Na tulipo kosea tunapajua ni UBINAFSI
    NA KUKOSA UZALENDO MOYONI.

    ReplyDelete
  2. Je unajua The Mpwapwa Rhodes..?
    Duniani na Wiza Ruby..??

    Zinaondoka kinyemela kila Siku.

    Unajua Zinapatika wapi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad