Mchungaji Agongelewa Msumari Mdomoni Kisa Kuimba Mapambio



Mchungaji mmoja nchini Uganda amejikuta akizamishiwa msumari kwa nyundo mpaka kutoboka mdomo baada ya kupita mitaani huku akihubiri injili na kuimba wimbo wa mapambio unaomsifia Rais Museveni wa Uganda.

Mchungaji huyo alipiga kelele za kuomba asaidiwe baada ya kuvamiwa na vijana wakimhoji juu ya uhusiano wake na mtu anayewatesa ambaye ni Museveni.

Alijikuta yupo chini huku mdomo ukiwa umetapakaa damu na msumari ukisalia mdomoni.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad