Meddie Kagere Achaguliwa Kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi VPL



Mshambuliaji wa timu ya Simba, Meddie Kagere amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20 akiwashinda Lucas Kikoti wa Namungo na Seif Karihe wa Lipuli.

Pia kocha wa timu ya Ruvu Shooting, Salum Mayanga amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Agosti Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/2020 akiwashinda Mecky Mexime wa Kagera Sugar na Hitimana Thiery wa Namungo
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad