Web

Mrembo Sasha Kassim Afunguka Alipodanga Mpaka Kumiliki Magari Wawili

Top Post Ad


Sasha Khassim amesema ni kweli magari mawili anayomiliki ni yake akiongeza kuwa la kwanza alilokuwa akionekana nalo alipewa na mama yake mzazi na jingine amepewa na bwana'ke wa Sasa ingawa bado hana mpango wa kuolewa Na jamaa huyo kwasasa kwani yeye bado ni mwanafunzi wa udaktari yupo busy na masomo hataki mambo hayo !

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.