Mwakilishi wa Papa Francis amjulia hali Askofu Yuda Ruwa'ichi

Mwakilishi wa Papa Francis akimjulia hali, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Yuda Ruwa'ichi aliyelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) baada ya kufanyiwa upasuaji.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad