Mwalimu afumaniwa na Mke wa mtu, DC atuma Polisi kumuokoa

Mwalimu mmoja Wilayani Itilima Mkoani Simiyu amepigwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kufumaniwa na na Mke mtu usiku.

Mkuu wa Wilaya hiyo Benson Kirangi amesema kwamba tukio hilo ni la kweli na baada ya kupata taarifa hizo alituma kikosi cha askari kumuokoa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad