Mwanamfalme wa Saudia Akiri Mauaji ya Mwandishi Jamal Yalifanyika Chini ya Uangalizi Wake


Mwanamfalme wa Saudia, Mohammed bin Salman amekiri kuwa mauaji ya mwandishi Jamal Khashoggi yalifanyika chini ya uangalizi wake, katika ubalozi wa Saudi Arabia uliopo nchini Uturuki.

Awali alikanushwa kiongozi huyo kuhusika na mauaji hayo, licha ya Marekani kusisitiza kuwa aliagiza Jamal kuuawa.

Jamal Khashoggi aliuawa ubalozini Uturuki kisha mwili wake kukatwa vipande vipande na kuwekwa kwenye mabegi ya Ubalozini na kusafirishwa hadi Saudi Arabia kisha vipande hivyo vya nyama kuteketezwa kwa tindikali ya Hydrochloric Acid (HCL).
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad