Mbunge wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi, Nape Nnauye leo Septemba 10, 2019 amekutana na kumuomba radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kufuatia kuhusika kwake katika mazungumzo yasiyofaa dhidi ya Mhe. Rais Magufuli,Ikulu jijini Dar kwa kile alichoeleza kuwa siku za hivi karibuni yametokea mambo mengi.
“Nimekuja kumuona kama baba yangu, ninamshukuru amenisamehe na kunipa ushauri.” – Nape Nnauye.
Nape Nauye Atua Ikulu Amuomba Msamaha Rais Magufuli
0
September 10, 2019
Tags