Ndege Mpya za Tanzania Aina ya Boeing 787-8 Dreamliner Katika Hatua za Mwisho


Ndege mpya za Tanzania aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ikiwa everett Washington kwenye hatua za mwisho kukamilika. Septemba 19, mwaka huu Serikali ya Tanzania ilisaini mkataba na kampuni ya utengenezaji wa ndege ya Airbus, kununua ndege mbili aina ya Airbus A220-300.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad