Picha: Dk. Shein akutana na Rais wa Muungano wa Visiwa vya Commoro

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali  Assoumani wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo  kwa ajili ya kusalimiana

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali  Assoumani wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na  mgeni wake Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali  Assoumani baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad