PICHA: Steve Nyerere Akatisha Safari yake ya Kupanda Mlima Kilimanjaro...Arudia Njiani

PICHA : Steve Nyerere akiwa amepumzika baada ya kukatisha safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kutokana na kuchoka.

Msanii huyo ni miongoni mwa walioshiriki kampeni ya Kili Challenge, Twenzetu Kileleni iliyoandaliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kingwangalla.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad