Rais Magufuli Akutana na Wahandisi na Wadau wa Ujenzi
0Udaku SpecialSeptember 04, 2019
Top Post Ad
Rais Dkt. John Magufuli leo Sept. 4, 2019 amekutana na wahandisi na wadau wa sekta ya ujenzi katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam, mkutano huo pamoja na mambo mengine utajadili masuala mbalimbali yanayohusu sekta hiyo